Thursday, January 2, 2014

INASEMEKANA KUWA FIREWORKS ZA MKESHA WA MWAKA MPYA 2014 DUBAI ZA VUNJA RECORD YA DUNIA

Burj Khalifa Dubai
Hili ndiyo jengo refu la Burj Khalifa dubai fireworks za mkesha wa mwaka mpya 2014 zilivunja record ya dunia habari ndiyo hii kama unavyoona katika picha hii. Waandaaje wa fataki hizo walilenga kuvunja record iliyowekwa mwaka 2012 katika Golden jubilee Anniversary ya Kuwait.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake