Snow iliyoanza kuanguka mida ya 12 jioni maeneo ya DMV na kufanya shughuli nyingi kusitishwa mapema na wakaazi wengi kukimbilia majumbani kwao mapema kutokana na barabara kuwa na utelezi kwa ajili ya theluji hiyo pichani ni mdau makeo katika picha kwenye snow hiyo iliyoanguka pia na majimbo ya New York na Massachusetts
Mdau Makeo katika picha
Mzee wa kunyoosha Benja akiondoa snow kwenye usafiri wake anayemuangalia kushoto ni mdau Makeo
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake