
Bruce Lee jina kamilia anaitwa Lee Jun Fan alizaliwa Chinatown, San Francisco nchini Marekani tarehe 27, Novemba 1940 baada ya miezi 3 tangu kuzaliwa kwake wazazi walihamia mji wa Kowloon, uliopo pendezoni mwa Hong Kong na alitambulishwa kwenye ulimwengu wa sinema na baba yake na baadae alionekena kwenye baadhi ya sinema akicheza kama mcheza sinema mtoto.
Bruce Lee alirudi Marekani wakati alipokua na umri wa miaka 18 kuchukua masomo ya juu na ndipo wakati alipoanzisha shule ya kufundisha martial arts. Kampuni yake ya Hong Kong na Hollywood walitengeneza sinema ilionyesha utamaduni wa Hong Kong wakutumia sinema za Martial Arts zilizotokea kupendwa Duniani kote miaka ya 70 kwenye hiyo karne ya 20. Bruce Lee alifariki tarehe 20, July 1973 katika mji wa Kowloon
No comments:
Post a Comment