ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 24, 2014

JUSTINE BIEBER ANASHIKILIWA NA POLISI


Mwanamuziki Justine Bieber

Justine Bieber anashikiliwa na Polisi Florida tangia jana Ahamisi January 23, 2014 baada ya kukamatwa akiendesha gari yake ya lamborghini huku akiwa amelewa sababu iliyosababishwa akamatwe ni mwendo wa kasi aliokuwa akiendesha gari hiyo na alipokamatwa alikutwa amelewa na huku akiwa amevuta bangi na anaendesha na leseni iliyokwisha muda wake na walipokuwa Polisi wakijaribu kumtia pingu alikuwa akikwepesha mikono.

No comments: