Kutoka kushoto: Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Bw. Nassor Mnambila, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Fabian Massawe, Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh wakiingia ukumbini leo mjini Bukoba.
Viongozi hao wakifungua kikao hicho cha kusomwa ripoti ya ukaguzi maalum ya CAG.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Bw. Nassor Mnambila akifungua kikao.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Fabian Massawe akimkaribisha mgeni rasmi leo kwenye kikao hicho cha kukamilisha Ukaguzi Maalum " Exit Meeting" cha CAG.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh akisoma ripoti ya ukaguzi maalum leo Bukoba.
Baadhi ya waliohudhuria kikao hicho.
Meya wa Manispaa ya Bukoba, Anatory Amani (kulia) pamoja na Madiwani wa Manispaa ya Bukoba katika kikao hicho.
Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri (kulia) na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh (kushoto) wakiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Bw. Fabian Massawe (kati) katika meza kuu.
Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri (katikati) akimsikiliza kwa makini Bw. Ludovick Utouh.
Viongozi meza kuu wote walikuwa makini kusikiliza taarifa hiyo ya Ukaguzi.
Taswira ya kikao hicho katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa.Madiwani wa Manispaa ya Bukoba pamoja na Mstahiki Meya Anatory Amani ambaye madiwani wa manispaa wanamtuhumu kwa matumizi mabaya ya madaraka.
(PICHA KWA HISANI YA BUKOBA SPORTS BLOG)
2 comments:
LESSONS FROM OUR NEIGHBORS: Luxury spending ban on ministry bosses. The National Treasury has announced tough austerity measures aimed at raising Sh121 billion needed to pay for the salaries of teachers, lecturers, health workers and allowances for police officers in this financial year. Habari kama hizi lini zitakuwa news kwetu?
http://www.nation.co.ke/news/Luxury-spending-ban-on-ministry-bosses/-/1056/2147828/-/e1hp8cz/-/index.html
Sasa huyu CAG Mr Uttouh mbona amevaa hii bracelet (ya kitamaduni) bendera ya Kenya. Tena kwa afisa mzima wa serikali? Wabongo bwana...sasa Uzalendo uko wapi?
Post a Comment