Jamaa anaanguka chini afikie wapi sasa, Maana tumezowea kuona mtu anaangu juu ya mti au nyumba na anaangukia chini hii sasa itaitwaje papo kwa hapo au?. Siyo movie wala nini ni theleji hiyo imempiga mweleka mzungu wa watu na kaanguka kizungu hasa.

watu wanaanguka na bado wameshikilia vitu vyao mikono kunanini ndani. Kulia ni kuanguka kichina na kushoto ni kuanguka kizungu kazi hiyo.

Huyu ni messenger kala mweleka na baiskeli yake pwah...theleji mbaya sana.



4 comments:
dj luke hapa ni mji gani/state gani ahsante kwa kutupa makavu live
Hapo panaonekana ni Manhattan NYC
NEW YORK CITY HIYOOO!!
Hata mm nilishaanguka black ice ni nouma
Post a Comment