ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 7, 2014

ZITTO KABWE ASHINDA KESI MAHAKAMA KUU



Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe.

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo imetoa hukumu ya kesi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe ambapo imempa kinga ya mudakutojadiliwa uanachama wake na Kamati Kuu ya Chadema!

No comments: