MH MWIGULU LAMECK MCHEMBA AKICHANGIA MOJA YA HOJA BUNGENI PITIA HII.
2 comments:
Anonymous
said...
Hivi hii blog ni ya mwigulu nchemba maana kila siku tukiifuatilia blog hii ni huyu mtu tu mnatuchosha Kuna mambo mengi ya kutaarifu acheni kupapatikia watu mnapoteza dira
Naona mdau usichanganye yako ya kibnafi na hii habari, huyu jamaa ni Mtanzania na anayo zungumzia ni ya kuhusu waTanzania, ni bora ukatoa linalokukela kwa huyu kiongozi nasi tukaelewa kinacho hitajika kuhusu uongozi wake, na wapiga kura wake, wasimchague tena. labda kidogo utatumia busara.

Post a Comment