ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 17, 2014

MTANZANIA ALIYESHITAKIWA KWA KOSA LA KUBAKA BIBI WA MIAKA 62 MWAKA 2010 MASSACHUSETTS NCHINI MAREKANI AACHIWA HURU

Steve Konyagi
Mwaka 2010 kwenye mwezi wa 11 Steve Konyagi Mtanzania anayeishi mji wa Lynn Massachusetts nchini Marekani alishitakiwa na Mtanzania mwenzake (jina kapuni) kwamba amembaka demu wake Mmarekani wakati hua aalikua na miaka 62 na kufikishwa mahakami na kuwa nje kwa dhamana.

Steve Konyagi alikuja Marekani mwezi wa 8 mwaka huo 2010 kabla hata hajakaa sawa akakutana na balaa hilo la kubaka ambalo kama utapatikana na kosa kifungo chake ni miaka 20 mpaka 40. Steve Konyagi Tanzania anatokea maeneo ya Sinza.

wakati Steve Konyagi alipokua akiendelea na kesi yake ya kubaka bibi Mmarekani wa miaka 62 aliibuka dada mwingine Mtanzania (jina kapuni) aliyewahiishi DMV miaka ya nyuma na kudai nae kabakwa na Steve Konyagi hiyo ilikuwa mwaka 2011. Mahakama iliamua kuondoa dhamana kwa Steve Konyagi na kuMsweka ndani kuanzia wakati huo huku ikiendelea kusikiliza kesi hiyo iliyochukua takriban miaka mitatu.


Vijimambo baada ya kupata tetesi za Steve Konyagi kuwa huru ilinyanyua simu na kumtwangia na yeye bila ajizi alinyanyua na kuanza kuelezea kisa kizima. Vijimambo ilitakakufahamu kulikoni na Steve Konyagi akaanza kwa kusema mwaka 2010 kwenye mwezi 8 aliwasili Marekani baada ya kushinda Green Card na alifikia kwa dada mmoja anayeitwa Adela ambaye yupo Massachusetts miaka mingi.

Jumamosi moja ya mwezi wa 11, 2010 huyo Mtanzania aliyemshitaki walifika nyumbani kwao akiambatana na demu wake huyo Bibi Mmarekani wa miaka 62 wakati huo sasa hivi huyo bibi atakua na miaka 65. Mara baada ya kufika nyumbani kwao kama ilivyoada ya Steve Konyagi ni mtu wa mchupa sana na baada ya kutembelewa na wageni walianza siku yao kwa kupiga mitungi mpaka usiku mnene na demu wa mshikaji akawa amepagawa na Steve Konyagi mdada akimtia majaribuni mshikaji wake. Baada ya mitungi kukolea Demu wa mshikaji alishindwa kuvumilia alimtonya Steve kwamba kwake yeye hajiwezi na Steve tangia aje Marekani alikua hajaona ndani alikua na kinenge kikali pamoja na hivyo bado alishindwa kula uroda kwa demu wa mshikaji lakini kilichotokea demu kulazimisha sana alichoambulia ni kula pipi kijiti.

 wakati huo mshikaji alikua amezidiwa kwa mchupa alipozinduka alihisi swaiba wake amemtenda kitu mbaya na alipoanza kudodosa demu alijitetea kwa kumsinginzia Steve kwamba amembaka ndipo mshikaji pamoja na kwamba yule demu alikuwa mkubwa kiumri jamaa hakukubali alionelea yaishie mahakamani.

Wakati kesi ikiendelea mahakani huku ikipigwa kalenda Steve Konyagi akakutana na kisanga kingine cha kubaka mwaka uliofuata. Steve Konyagi aliendelea kwa kusema Jumamosi moja ya mwaka 2011 wakati huo nishahama kwa Adela nakaa na mshikaji wangu Mtanzania (jina kapuni) alikuja Demu aliyewahi kuwa girl friend wa mshikaji wangu wakati huu akiwa na jamaa mwingine wa huko huko Massachusetts. Huyu demu ni Mtanzania aliyewahiishi DMV miaka ya nyuma na alizaa watoto wawili na wanaume wawili tofauti. Kama uanvyojua tulianza kupiga mitungi kama kawaida yangu ilipofika usiku mnene jamaa yangu na huyo bibie waliamua kukumbushiwa penzi lao na mara wakaniacha sebuleni na kuingia chumbani baada ya saa kadhaa yule demu alirudi sebuleni na kunikuta mimi nikiendelea na mitungi na wakati huo alirudi akiwa amejifunga taulo tu akiwa amesalua mpaka kineng'esti chake. Demu alijiunga na club yangu ya mitungi na baada ya muda mchache wote tulijikuta tumesinzia kwenye kochi baada ya kuzidiwa na ulabu.

Baada ya saa kazaa nilizinduka na kujikuta nipo na yule demu wakati huo akiwa bado kalala na huku taulo alilojifunga likiwa limeanguka chini na yeye akiwa kama alivyozaliwa. Baada ya kumuaona na hali ile nilijaribu kumuamsha alipoamka na kujikuta na hali ilie alipiga kelele na kudai nimembaka nilijaribu kujitetea lakini ilishindikana na wakaamua kuita polisi na tangia siku hiyo dhamana yangu ikafutwa na mimi nikaswekwa ndani huku kesi zote mbili kuchanganywa pamoja.

Hatima yangu niliiachia mahakama na wakili wangu kwa hiyo nilikaa ndani mpaka January 13, 2014 nilipoachiwa huru na mahakama kwa kupatikana sina hatia na kilichoniokoa ni DNA walipochukua vipimo vya DNA kwa yule demu wa Kimarekani bibi wa miaka 65 hawakukuta chochote changu kutoka kwake na walipopima DNA kutoka kwa dada Mtanzania pia waliambulia patupu lakini DNA ilimechi na yule mshikaji wangu aliyewahi kuwa Bwana wake siku za nyuma ambayo siku hiyo ya tukio walivunja amri ya sita.

Kwa hiyo Bwana Vijimambo hiyo ndiyo mchapo wenyewe sasa hivi nipo uraiani kama kawaida nachoomba Watanzania wenzangu wawaogope mademu hao yasije yakawakuta yaliyonikuta mimi.

14 comments:

Anonymous said...

pole sana kaka kwa yaliyokukuta, ni kwa sababu ulikuwa hujui tabia za huyo dada Mtanzania, usingethubutu kukaa naye karibu! kwani huku Dmv watu wanamuogopa km ukoma! ana tabia ya kusingizia watu sana! anaweza hata kukuwekea sumu! Boston kaeni macho na huyo dada

Anonymous said...

Tatizo huyo jamaa ameshalizungumza hapo ni pombe. Pombe ya kunywa mpaka unalala unajikuta umeamka na mwanamke wa rafiki yako akiwa hana nguo maana yake kuwa ni uko out of control. Tatizo liko kwa huyo jamaa na mipombe yake ajirekebishe sasa na naamini umepata mafunzo

Anonymous said...

Tunamjua,tumemstukia,kashaongeza toto la sita,kwa kutaka childsupport,hajawahi, kufanya Kazi huyo,pakukaa hana pakukaa,nungunungu mbaya, sana, hatumtaki hata kumuona boston, hana maket hapa, mass,

Anonymous said...

Dj luke wote tunamjua hio story kila mtu anaijua jina kapuni ndio nn? Sa zingine unauzi sana

Anonymous said...

Acha pombe wewe. Huoni Kama Hilo ndiyo tatizo Lako? Unafikiri iko Sinza ?

Anonymous said...

Pole sana Stigo....Oshu

Anonymous said...

Lakini huyo jamaa ajifunze kutokana na makosa,maana kuna mama mtu mzima mwengine wa kitanzania anaishi boston huyo Steve anaenda nae ni mtu mzima ovyoo wa boston ambae hana thamani ni mgeuzaji wa story hatari awe makini yasije yakamtuta tena.

Anonymous said...

kwa nini manaficha jina mtajeni kila mtu amjue ili waweze kumwepuka, na pia sijui kwanini watanzania hatupendani ona kama wakenya kwenye nchi za watu wanavyopendana.

Anonymous said...

karibu uraiani steve lakini jiulize je umeshajirekebisha kwa kunywa mipombe kwa kupitiliza marekani si uwanja wa fisi huu
na la pili je uliwahi kutembelewa na mtanzaniak/watanzania wowote wakati una matatizo lupangoni?

je ulize unamarafiki wa kweli hapa marekani because hapa ukipata shida ni kivyako vyako bwana hakuna atakaye kujali ila ukiwa na matatizo watakaa wakucheke so bwana piga kazi kaa poa achana na mtungi story imeshatokea mshukuru mungu ila songa mbele na ujue nani rafiki wa kweli na muongo ili ukitokea na shida wakae na kukucheka

karibu uraiani nakutakia kila la kheiri dunia ya leo ukipatwa na shida watu ndo wanafurahiya usisikiye wangu so poa mshukuru mungu uko uraiani na jiepushe na mitungi na watu wasio na mema kwako

Anonymous said...

Hao hao, walio toa comment ya kuashifu jamaa,hao labda,labda,wanaume wanawake,eti jamaa analewa mpaka anaamka eti na mwanamke warafiki yake,!! Hebu jicheke,upumbavu, fikiria unacho kiandinka,usiige,au usiandike usicho kijua,bab, kubwa malungo,umewaonyesha how tuff ur

Anonymous said...

Yule demu aliyetoka dmv licence/mzoga akila majani na maji chali.kataka kumlostisha stigo kwa ajili ya yule limbo m

Anonymous said...

Acha hizo wewe,ulimtembelea jela,watu walishamuesabia minazi mirefu,toa zali basi

Anonymous said...

I think the woman should be named and shamed. Getting away with destroying other peoples lives is despicable. What a disgrace having kids so she squander tax payer money. NAME HER!!!!

Anonymous said...

Jamani mtajeni
mnafuga huo mzoga. Atakuja kurudia tena amharibie mtu mwengine maisha. Hata marais na mawaziri wanakuwa exposed what is special about her
Na huyo bwana alonae sasa mbona akae kwa tahadhari.