
Mmiliki wa Blog ya Chahangamoto yetu, Mubelwa Bandio mwenye makaazi yake DMV mapema leo alitembelea kaburi la mwanamuziki wa reggae aliyewika enzi hizo marehemu Jastin Kalikawe ambaye pia alikua mdogo wake marehemu Dj Kalikali huko Bukoba na kupata nafasi ya kufanya mahojiano na mjane wa marehemu Bi.Georgia na binti yao Abayo mara alipowatembelewa nyumbani kwao Bukoba alipoenda maalum kwa likizo ya kikazi.

Mmiliki wa Blog ya Chahangamoto yetu, Mubelwa Bandio mwenye makaazi yake DMV akifanza mahojiano na majane wa marehemu Justin Kalikawe Bi. Georgia nyumbani kwao Bukoba mara tu alipowasili Bukoba kwa likizo ya kikazi.

Mmiliki wa Blog ya Chahangamoto yetu, Mubelwa Bandio mwenye makaazi yake DMV akifanza mahojiano na mtoto wa marehemu Justin Kalikawe Abayo nyumbani kwao Bukoba mara tu alipowasili Bukoba kwa likizo ya kikazi.

Mubelwa Bandio katika picha ya pamoja na mama na mwana.
No comments:
Post a Comment