MVUA KUBWA YAEZUA MAPAA YA NYUMBA KADHAA, NI BAADA YA HELKOPTA YA CHADEMA KUTUA KYELA.
Helekopta ya CHADEMA ikiwa inatuwa Kyela
Hii Ni mojs ys nyumba iliyo ezuliwa na Mvua kubwa zinazonyesha Kyela Muda huu
Nyumba nyengine ikiwa ime ezuliwa na Mvua hiyo
PICHA NA MBEYA YETU BLOG
3 comments:
Anonymous
said...
Kwahiyo kama hecopter ya Chadema isingetua, mvua ingeezua mapaa?? Kama helcopter ya polisi ingetua, jua lingewaka?? Mwandishi, unaweza fafanua uhusiano wa helcopter, na mvua kuezua mapaa ya nyumba?

Duh! majungu hadi Vijimambo. Yaani Vijimabo mnawapiga majungu CHADEMA hahahaaaa
naona hizi ni habari mbili tofauti
Post a Comment