ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 30, 2014

NAIBU WAZIRI WA FEDHA ATEMBELEA OFISI ZA HAZINA NDOGO MKOA WA NJOMBE

Naibu Katibu Mkuu CCM Bara,Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Njombe wakati alipotembelea Ofisi Mpya ya Hazina Ndogo Mkoa wa Njombe mapema leo Asubuhi ya Tar.30/01/2014Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara Mh;Mwigulu Lameck Nchemba akibadilisha mawazo na Mkuu wa Wilaya wa Wanging'ombe Wakati wakitoka Kutembelea Ofisi Ndogo Mkoa wa Njombe. .
Mh;Mwigulu Nchemba akioneshwa moja ya Chumba cha Mapokezi ya Wageni kwenye Ofisi za Hazina Ndogo.
Picha zote na Habari Kwanza Blog

1 comment:

Anonymous said...

hiyo ofisi ya hazina ni ccm au?labda kama ziara ni ya kichama hamna sababu ya watu wavae mavazi ya ccm