Naibu
Waziri wa Fedha Mh;Mwigulu Nchemba hii leo amekutana na Wafanyabiashara
wa Mkoa wa Njombe kuzungumza nao Kuhusu Wajibu wao wa Kulipa
Kodi,Matatizo wanayokumbana nao kwenye Biashara na namna ya Kuinua
Uchumi wao kama Wafanyabiashara wadogo na wakubwa ndani ya Mkoa wa Njombe na Taifa kwa Ujumla.
Sehemu
ya Wafanyabiashara waliofika kwenye Ukumbi wa Turbo hapa Njombe mjini
kwaajili ya Kuzungumza na Naibu waziri wa Fedha Mh;Mwigulu Nchemba.Kubwa
zaidi linaloendelea hapa ni Mkutano wa Kubadilishana mawazo kati ya
Naibu waziri,Viongozi wa Uchumi Mkoa,TRA na Taasisi mbalimbali za Uchumi
pamja na Wafanyabiashara wa Mkoa huu.Picha zote na Habari Kwanza Blog
No comments:
Post a Comment