ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, January 25, 2014

NDEGE YA ZAN AIR YAANGUKA PEMBA

Ndege ya shirika la Zan Air imeanguka Pemba jioni hii ikiwa imebeba jumla ya abiria 19, miongoni mwa abiria hao pia alikuwamo Waziri wa Habari na Katiba wa Zanzibar mhe. Abubakar Kahamis, abiria wote wametoka salama.( picha kwa hisani ya Sufiani Mafoto)

No comments: