
Jumuiya ya Watanzania ya New York (New York, Connecticut, New Jersey na Pennsylvania) inawatakia wote heri na baraka za Mwaka Mpya wa 2014. Jumuiya inawatakia mafanikio zaidi katika mwaka huu mpya katika mambo yote mnayopanga kuyafanya.
Deogratius Mhella
The Executive Secretary
New York Tanzanian Community
c/o Tanzania Mission to the UN
201 East 42nd. Suite # 425
New York, NY 10017
Tel: 201-252-7220
Website: http://www. nytanzaniancommunity.org/
No comments:
Post a Comment