ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 22, 2014

SALAMU ZA MAKAMANDA WA CHADEMA POPOTE DUNIANI

INTERNATIONAL DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT ( a.k.a Kamanda LB ) ANAWATAKIA MAKAMANDA NA WANACHAMA WOTE WA CHADEMA POPOTE PALE DUNIANI. KILA LA KHERI NA KUWAOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU ULINZI NA BARAKA ZAKE KWENYE SHUGURI ZA "PAMOJA DAIMA". tuko pamoja ".

7 comments:

Anonymous said...

The mdudu from London hilo jina tu yaonyesha kabisa yakwamba ww ni mamruki why hukusema na kwa watanzania wote coz wengine hatupo katika mambo yenu hayo ya kujitakia zambi za bule

Anonymous said...

Mdau apo juu napenda kukujibu hili swali shule ndugu yangu nafikiri utakua umenielewa .

Anonymous said...

Hii ni kwa wanaojitoa muhanga kuleta mabadiriko TZ . Sababu "operation pamoja daima" imeanza rasmi ndo kawatakia heri. sasa wewe wa hapo juu umeshasema haupo kwenye madudu yetu ya mambo ya siasa sasa unataka Salam za nini?. Mtu yoyote anaependa mabadiriko basi Salam zinamuhusu sababu watu huwa wanapoteza maisha....... Kanyaga twende Kamanda LB tuko pamoja Arusha....

Anonymous said...

We wa hapo juu wakwanza kabisa. Nani alikuambia politics ni dhambi? Kutetea wanyonge na kutafuta mabadiriko Dhambi? Mbona kamhusisha mwenyezi mungu na kuwaombea makamanda mana wao ndo mawaziri kawatakia kheri mnaanza maneno Si mkae kimya tu Kama hamna points?. Huyu dada ni Shoka mashalau very brilliant and talented. Embu toeni credit panapo staili kaa!.

Anonymous said...

Blogu nzima imejaa kijani na njano walau kidogo nimeona rangi za chama kingine utadhani Tanzania hamna vyama vingine jamani mpaka inakuwa kero.

Anonymous said...

Kama mambo yenyewe ndo hivi hata mimi nachukuwa uanachama wa Chadema. Chadema imejaliwa walimbwede si utani. CCM imejaza mimama na mibaba mizee. Mpwa weka comment . Huyu dada kaolewa?

Anonymous said...

Jamani kiswahili gani hiki kibovu namna hii?? Ni Mabadiliko na si "mabadiriko" khaaaaaaa