ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 23, 2014

SHUGHULI MBALIMBALI ZA RAIS KIKWETE AKIWA DAVOS, USWISI

 Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya kuongeza kasi  ya uboreshaji wa kilimo uliofanyika  Davos Uswisi usiku wa kuamkia leo Januari 23, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza Mhe.  Niuck Clegg walipoikutana na kufanya mazungumzo katika hoteli ya Sheraton  Davos, Uswisi Janaury 23, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kiwete kutana na kufanya mazungumzo na  Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya JETRO ya Japan katika hoteli ta Sheraton Davos,  Uswisi, January 23, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa ya Marekani (USAID) Mhe Rajiv Shah katika ukumbi wa mikutano wa Davos, Uswisi, January 23, 2014
Rais Jakaya Kikwete akishangiliwa baada ya kuhutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya kuongeza kasi  ya uboreshaji wa kupatikana na kulinda maji nsalama kwa miaka ijayo  katika hoteli ya Derby huku  Davos  Uswisi  Januari 23, 2014.
PICHA NA IKULU

1 comment:

Anonymous said...

Kwenye hii account ya uswiss kaweka $ mil 200 tu.