SHUKURANI ZA DHATI
Familia ya Edward Waigama, inapenda kuchukuwa nafasi hii kutoa shukurani za pekee kwa ushirikiano na upendo wa wana DMV mliounyesha wakati nimeodokewa na mama mpendwa 12/11/2013. Niliwahi mazishi yaliyofanyika 12/16/13 na nimerudi salama. Mungu awazidishie kwa ukarimu wa pekee na faraja mliotupatia, si tu wakati wa kuondokewa na Mama 12/2013, hata kipindi nimefiwa na Baba 09/2012. Ahsanteni sana, Mungu awazidishie upendo huo huo.
1 comment:
pole sana mpendwa kwakuondokewa na wazazi .
Post a Comment