Host wa party hiyo mkuu wa wilaya ya Springfield bwana Isaack Kibodya akitoa ratiba ya mpango mzima, ilikuwa ni kula na kuparty pamoja na Kids Talent show.
Watu wakijipendelea kwa chakula kabla ya kuparty kwa music uliokuwa unadondoshwa na Dj Rich Maka na Dj Masoud.
Habari ndiyo hii nguvu kwanza kabla ya music
 |
| Dj Rich akipata Ukodak na Mkuu wa wilaya ya Springfield bwana Kibodya |
 |
| Kazi hilikuwa kama hivi baada ya chakula ni kujirusha tu |
 |
| Kila mtu kwa raha zake |
 |
| Ukodak moment bwana Seif Akida kutoka New York Biwi kutoka Boston na Katibu wa New York Community bwana Mhela. Kwa picha zaidi jitiririshe chini. |
No comments:
Post a Comment