ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 2, 2014

TAZAMA PICHA JINSI LIONEL MESSI ALIVYOPANDA MLIMA KILIMANJARO


Messi ni mmoja kati ya masuper star waliepanda mlima Kilimanjaro, mlima mrefu katika bara la Africa mlima unaopatikana katika ardhi ya Tanzania. Mlima kilamanjaro ni moja ya vivutio vinavyoliletea taifa letu sifa na utajiri. Kwanini tusijivunie Utanzania wetu kupitia rasilimali zetu mungu ibariki Tanzania.


No comments: