ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 3, 2014

THELUJI YA MWAGIKA DMV

Theluji iliyodondoka usiku wa kuamkia leo DMV Ijumaa Jan 3, 2014 na kusababisha sehemu nyingi shughuli kuanza kwa kuchelewa  na baadhi ya shule kufungwa, theluji iliyoanguka ni kama inchi 3 mpaka 5 . Usafiri wa ndani wa anga ndege 1,900 umesitisha safari zake na ndege zaidi ya 3, 400 umesogeza mbele wasafiri wote wameshauliwa kupiga simu kwanza kabla hawajaelekea uwanja wa ndege.
Mitaa ya Washington, DC mida ya saa 12 jioni Alhamisi Jan 2, 2014 wakati wa theluji ilipokua inashuka.
Capitol Hill ilivyokua ikionekana mida hiyo wakati snowa ilipokuwa ikishuka.
Magari yaliyobeba chumvi yakimwaga chunvi hiyo itakayosaidia kuyeyusha snow hiyo na huku ikiendelea kukwangua theluji hiyo.

No comments: