Bondia Abuu Abas kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Abdul Zugo wakati wa uhamasishaji wa tuzo za PSPF Boxing Award zilizofanyika katika viwanja vya Zakhem Mbagala Dar es salaam tuzo hizo zinafika tamati january 25 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Zugo alishinda kwa K,o ya raundi ya pili.
Bondia Hamisi Mpili kushoto akichuana na Khalfani Jumamane wakati waq mpambano wa uhamasishani wa tuzo za PSPF Tanzania Boxing Awards zinazofika tamati january 25 katika ukumbi wa PTA Sabasaba jumanne alishinda kwa point mpambano huo .
MJUMBE WA BFT AISHA MZUNGU AKISALIMIA MASHABIKI WALIOJITOKEZA KATIKA KUANGALIA MIPAMBANO YA MASUMBWI YA KUHAMASISHA TUZO ZA BOXING AWARDS KATIKA VIWANJA VYA zakhem mbagala kushoto ni mjumbe mwingine Zuwena Kibena 'Mama Zugo'
wajumbe wa shilikisho la ngumi za ridhaa wakifatilia mpambano wa masumbwi kutoka kushoto ni Asisha Mzungu, Zuwena Kipingu 'Mama Zugo' na Antoni Mwangonda
Rais wa shirikisho la ngumi za ridhaa nchin Mutta Rwakatale akisalimiana na mjumbe wa shilikisho hilo Zuwena Kipingu
Rais wa shirikisho la ngumi za ridhaa nchin Mutta Rwakatale akisalimiana na mjumbe wa shilikisho Aisha Mzungu
WANDISHI WA HABARI WAKIFATILIA MPAMBANO WA MASUMBWI
BAADHI YA MASHABIKI WALIOJITOKEZA KWENYE VIWANJA VYA ZAKHEM MBAGALA KUANGALIA BURUDANI ZA MASUMBWI
No comments:
Post a Comment