ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 27, 2014

USAFIRI KAMA UNARUHUSU NGUO FUPI INATULIA LAKINI KAMA UNATEMBELEA MIKONO HATA USIJARIBU

Naelewa kwa wale warembo wenye usafiri kwao hii imewagusa maana ukitupia kitu juu ya mwili uliokamilika kila idara roho zina kuwa kwaaaaatu kuisubiri weekend ifike wakapunguze stress za schedule.

Dada zetu wa kibongo utawapenda tuuuu kwani nao kwa kutupia ............wamo.

No comments: