Hoja yake ni kupinga kuitisha kamati kuu kabla shauri lake kusikilizwa na Baraza Kuu.Anadai anataka mahakama iagize kamati kuu kutojadili suala lake mpaka baraza kuu likae kuamua rufaa yake.
Mahakama imeamua Kamati Kuu iendelee kesho na ipo huru kujadili mashitaka dhidi ya viongozi waliovuliwa madaraka na uamuzi kamili wa mahakama utatolewa baadae.
Habari zilizotufikia sasa hizi zinasema Mahakama imekubali ombi la Mhe. Zitto Kabwe ambaye aliwasilisha pingamizi mahamani hapo kupinga shauri lake kusikilizwa na baraza kuu, Mhe Zitto Kabwe alikua ameongozana mahakami hapo na mwanasheria wake Albert Msendo na upande wa Chadema waliwakilishwa na Mhe. Tindu Lissu na Peter Kibatala akiwemo Mbuge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema

No comments:
Post a Comment