ANGALIA LIVE NEWS

Friday, February 28, 2014

BODI YA VYAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAKUBALIANA NA MFANYA BIASHARA KUREJESHWA MCHELE MBOVU PAKISTAN. DSC_1397

DSC_1397
DSC_1374
Mmiliki wa Mchele uliodhibitishwa kuwa mbovu na kutofaa kwa chakula na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar Bwana. Mohamed Mauly akizungumza na waandishi wa habari katika zoezi la kurejeshwa kwao Mchele huo wenye wingi wa Nani 26 sawa na kg 2,600 katika Gonauni lake kwerekwe Zanzibar. DSC_1378
Mchele mbovu uliodhibitishwa na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar ukiwa kweye Godauni Mwanakwerekwe ukisubiri kurejeshwa Pakistan ulipo nunuliwa.
 
DSC_1384Wachukuzi wakipakia Mchele kwenye gari kwaajili ya kusafirishwa kurejeshwa ulipotoka. DSC_1397
Mmiliki wa Mchele Bwana. Mohamed Mauly akionyesha Mchele mbovu ulithibitishwa na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar na mwenyewe kuridhika na majibu hayo, nakusema sio aliouagizia hivyo ameshapeleka madai na kutakiwa aurudishe ili kupewa haki zake na Kampuni ya Bilal Rice Mills ya Pakistan. Picha na Makame Mshenga wa Maelezo-Zanzibar.

No comments: