ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 27, 2014

KAMA WANAWEZA KUOGOPA PUNDAMILIA WANAWEZA KUPAMBANA NA MAJANGIRI WANAOUWA TEMBO KWELI

Hakuna cha mwanajeshi wala nini hapa mbio tu, ndiyo maana tembo wetu huko misituni wanakwisha kama walinzi wenyewe ndiyo kama awa hata pundamilia hasie na mapembe tu wanamwogopa na kutimua mbio kama marathon. Tembo wetu kwisha kabisa jamaa angepata upenyo hata buti angevua na kutimua mbio vizuri.

1 comment:

Anonymous said...

Kwa mwendo huu tutafika kweli..