With all due respect. Hivi hawa wanawake akina Kajala, Wema, Lulu and the like wanawalipa kiasi gani watu wa media?kila kukicha utaona picha na story zao wkt Bongo is full of pretty & respectable womens.
hawa ndo wale wale wa viwanja vile vile ndo maana wapo kila leo unacheza nabongo nenda utajionea wenyewe hawa ndo totoz za mitaa ya bongo ndo maana unawaona na misupu supu yao ukiwa katika line zao utaona mambo jambo ha ha ha
3 comments:

wanataka kuuza sura zao na figaa ndo maana wapo hivyo wacheni wajanja wawadandeeee
Post a Comment