Ikiwa ni
wiki moja tu baada ya mwanamke mmoja kuchinjwa na mme wake huko Wilayani
Nzega mkoani Tabora kwa kile kilichodaiwa kunyimana unyumba kwa
wanandoa hao ,matukio ya kikatili yameendelea kujitokeza ambapo
,Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Ntobo "B" kata ya Ntobo Wilayani
Kahama Mkoani Shinyanga, Monica Elias (40) ameuawa kwa kuchinjwa wakati
akiwa nyumbani kwake kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Onyo picha inaleta usumbufu Tunaomba radhi kwa picha hii hapo chini
Onyo picha inaleta usumbufu Tunaomba radhi kwa picha hii hapo chini
Mwili wa Bi Monica Elias ukiwa eneo la tukio mara baada ya jeshi la Polisi kupata taarifa na kufika eneo la tukio |
No comments:
Post a Comment