ANGALIA LIVE NEWS

Friday, February 7, 2014

MCHUMBA WA AY HUYU HAPA

Mwanamuziki wa Bongo Flava AY katika picha ya pamoja na mchumba wake.

4 comments:

Anonymous said...

Amechagua mchumba mzuri sana.

Anonymous said...

Tunataraji ije kuwa couple ya ukweli........na da good thing z uko completely free from scandals......labda cjui

Anonymous said...

Beautiful couples,huyu kaka simskiagi na maskando kama D. Safi sana endelea hivyo kaka umezaliwa na mwanamke na ni vizuri kumuheshimu mchumba wako, mungu awabariki

Anonymous said...

mungu akubarikini daima muishi mpaka kuzikana nakuzaa watoto wema wenye heshima na adabu. na mdau hapo wa pili unachufua bwana kama umeamu kuandika kwa kiswahili andika au kizungu andika siyo eti unaandika hata husomeki kizungu si kuzungu kiswahili si kiswahili au shule hujapitia mwenzetu.