ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 24, 2014

MISA YA KISWAHILI YA KUADHIMISHA SIKU YA WAPENDANAO DMV

Padri Evod Shao na Padri Leandry Kimario wakiongoza misa ya kiswahili ya kuadhimisha siku ya wapendanao iliyofanyika Baltimore, Maryland siku ya Jumapili Feb 23, 2014 na kuhudhuriwa na waumini wa dhehebu hilo la Katoliki wakaazi wa DMV.
Mwambata wa Jeshi Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada, Colonel Adolph Mutta akisoma neno kwenye misa ya kiswahili ya kuadhimisha siku ya wapendanao iliyofanyika siku ya Jumapili Feb 23, 2014 Baltimore, Maryland.
Mtoto Brian akipiga kinanda kwenye wimbo mmoja wapo ya zilizoibwa kanisani hapo.
Wahudhuriaji kwenye misa ya kiswahili ya maadhimisho ya siku ya wapendanao iliyofanyika siku ya Jumapili Feb 23, 2014 wakifuatilia ibada.
Waumini wa misa ya kiswahili ya kuadhimisha siku ya wapendanao wakifuatilia ibada
picha na Aloyce Mbullu mwakilishi wa Vijimambo, Maryland
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: