ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 26, 2014

MPIGA BOX AELEZEA MAISHA YA UPIGAJI BOX UGHAIBUNI

Meya wa DC Saleh Mohammed akielezea maisha ya kupiga box yalivyo ughaibuni mpaka Plate Number ya gari yake ameipa jina la PIGABOX ebu Msikilize hapo chini

5 comments:

Anonymous said...

nyundo tano, duh unapiga box! kumbe huko wananyanyasa wafanyakazi sana hata kumpa gloves! ndio wanafata haki za binadamu! Bongo wachina wanapiga box kariakoo

Anonymous said...

Asante sana kaka ni vizuri watu waone ili waelewe ugumu wa upatikanaji wa dola! PIGA BOX!!!!

Anonymous said...

nenda shule kijana,marekani ni nchi ya opportunity kupiga box sio fahari

Anonymous said...

Marekani ni "LAND OF OPPOTUNITY" lakini ni kwa wachache, kuna wengi wamekuja amerika na kwengineko wakiwa na degree zao na wakasoma katika hizo nchi, wanalea wazee na kupiga box, kila mtu ana life style yake, muacheni kijana aeleze life style yake

Anonymous said...

lengo ni kutafuta, wapi kuna maslahi, mimi nachamba vibibi lakini nasomesha watoto wangu bongo katika shule nzuri tu, nimeipenda hii kaka