ANGALIA LIVE NEWS

Friday, February 7, 2014

MWANAUME KUFIKA KILELENI NI JANGA LA KITAIFA-2

Wiki iliyopita nilifungua somo muhimu sana kwa wanaume ambalo ni tatizo la wanaume kuwahi kufika kileleni au kuwahi kumaliza katika tendo la ndoa ikiambatana na uchovu wa ghafla wa kushindwa kurejea katika tendo na mbaya zaidi usingizi pia huwakumba ghafla wakiwaacha wenza wao bado na hisia kali za mapenzi.

Nilisema ninaliita hili kuwa ni janga la kitaifa kwa kuwa clinic kwangu nimekuwa nikipokea wanaume wengi wenye tatizo hili lakini sababu ya pili ya kuliita janga la kitaifa ni kuwapo wanaume wengi wenye tatizo hili lakini hawajui kama ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine kwani lina vyanzo vyake na tiba kamili na kwa hiyo wengi wao hubaki na tatizo hili likiwatafuna mpaka uzeeni.

Niliishia kwenye vyanzo na nilianza kwa kusema kwamba:
kujichua (masturbation ) ni chanzo kikubwa cha tatizo hili kwa kuwa mara nyingi mtu mvulana anapoanza mchezo huu huwa anafanya kwa siri na huhitaji amalize mapema kabla hajakutwa na watu na tabia hii hujijenga kisaikolojia na kujikuta mvulana/mwanaume huyu huendelea na tatizo hili la kuwahi kumaliza hata katika tendo halisi.Wiki iliyopita nilifungua somo muhimu sana kwa wanaume ambalo ni tatizo la wanaume kuwahi kufika kileleni au kuwahi kumaliza katika tendo la ndoa ikiambatana na uchovu wa ghafla wa kushindwa kurejea katika tendo na mbaya zaidi usingizi pia huwakumba ghafla wakiwaacha wenza wao bado na hisia kali za mapenzi.

Nilisema ninaliita hili kuwa ni janga la kitaifa kwa kuwa clinic kwangu nimekuwa nikipokea wanaume wengi wenye tatizo hili lakini sababu ya pili ya kuliita janga la kitaifa ni kuwapo wanaume wengi wenye tatizo hili lakini hawajui kama ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine kwani lina vyanzo vyake na tiba kamili na kwa hiyo wengi wao hubaki na tatizo hili likiwatafuna mpaka uzeeni.

Niliishia kwenye vyanzo na nilianza kwa kusema kwamba:
kujichua (masturbation ) ni chanzo kikubwa cha tatizo hili kwa kuwa mara nyingi mtu mvulana anapoanza mchezo huu huwa anafanya kwa siri na huhitaji amalize mapema kabla hajakutwa na watu na tabia hii hujijenga kisaikolojia na kujikuta mvulana/mwanaume huyu huendelea na tatizo hili la kuwahi kumaliza hata katika tendo halisi.

Madhara haya ya kujichua huambatana na uume kusinyaa, kuwa mfupi na mwembamba tofauti na awali. Tafiti za kitabibu zinatabaisha kwamba kila mwanaume aliyewahi kujichua mfululizo katika maisha yake ni lazima atakumbwa na tatizo hili kipindi fulani cha maisha yake.
Msongo wa mawazo.

Wanaume wengi hasa wa mijini hujikuta katika msongo wa mawazo usio kwisha na hivyo hurudi nyumbani kutoka katika shughuli zao za kila siku.
Kukamia kupita kiasi.

Uoga/kutojiamini. Hali hii huwakumba wanaume wasio na taarifa kwamba wao ni wakamilifu, wanaume ambao hujidharau na kujiona hawafai kuwa na mwanamke wa hadhi Fulani.

Dr. Abrahams James wa Saint Magreth Clinic iliyopo Washington Dc katika andiko lake liitwalo `Sex and Fertility` la mwaka 2011 anasisitiza kwamba wanaume kutofuatilia majarida /elimu au taarifa za mbinu mbali mbali za kumwezesha mwanaume kuchelewa kufika kileleni huchangia kuendelea kwa tatizo hili kizazi na kizazi na hasa kwa wanaume wa mijini ambao wengi wao miili yao haifanyishwi mazoezi kwa kazi zao au hata kwa kupanga muda.

Anasisitiza kwamba mwanaume anapopata ufahamu huu hupata hali ya kujiamini na hivyo kushiriki kikamilifu katika tendo la ndoa.
Itaendelea wiki ijayo.

GPL

2 comments:

Anonymous said...

Hizi hadithi za abunuwasi hazitufai katika miadi hii kila mtu analijua lwake..

Anonymous said...

zinatufaa zinatufundisha mengi acha zako wewe mdaau wa mwanzo hasemwi mtu hapa ila tunaelimishwa kama unatizo hilo pole sana