ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 24, 2014

SASA MAGARI MKOANI DODOMA KUONGOZWA NA TAA ZA BARABARANI

 Mafundi wa kampuni ya Makenga Invest LTD ya mkoani Tabara wakifunga taa kwa ajili ya kuongozea madereva wanaendesha vyombo mbalimbali vya moto kwenye  barabarani za  mjini Dodoma, kwa mjibu wa kampuni hiyo taa hizi zinafungwa maeneo ya njiapanda ya Area D, na Ndasha.(Picha na John Banda)
 Mafundi wakiendelea na kazi
Moja ya nguzo yenye taa za barabarani ikiwa kwenye ukarabati wa mwisho eneo la njia panda ya Area D mjini Dodoma.

1 comment:

Anonymous said...

Tangu mji mkuu uhamie Dodoma ndio unafungwa traffic lights leo?