Advertisements

Wednesday, February 19, 2014

TASWIRA,MGOMBEA WA CCM NA CHADEMA UBUNGE KALENGA WALIVYORUDISHA FOMU

Wana CCm wakimsindikiza Mgombea ubunge wa CCM Kalenga Bw Mgimwa kurejesha fomu leo 
Grace Tendega Mvanda akirudisha fomu kwa Msimamizi wa Uchaguzi Pudenciana Kisika
Hapa akikabidhi fomu yake kwa Msimamizi wa Uchaguzi, Pudenciana Kisika 
kwa picha zaidi Bofya soma zaidi 
Mgombea wa CCM, Godfrey Mgimwa wa pili kushoto akiwa ameshika bendera ya CCM akielekea kurudisha fomu 
Wana CCm wakimsindikiza Mgombea ubunge wa CCM Kalenga Bw Mgimwa kurejesha fomu leo 
Makada wa Chadema wakimsindikiza mgombea wao jimbo la kalenga leo 
msafara wa mgombea ubunge jimbo la kalenga kupitia Chadema 
Na Francis Godwin, Iringa

No comments: