VIDEO:DAKTARI FEKI AKAMATWA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
3 comments:
Anonymous
said...
Hii ni aibu kwa uongozi mzima wa Muhimbili.Kwa mujibu wa taarifa hii, jamaa aliekuwa atapeliwe na huyu daktari ndie akie alert uongozi wa Muhimbili kuhusu kuwepo kwa huyu dokta feki. Nijambo lisiloingia akilini kuwa mtu anaweza kwenda na kufanya shughuli za kidaktari Muhimbili bila ya uongozi kufahamu.Ikumbukwe hii sio safari ya kwanza incident km hii kutokea yet nothing has been done to take care of such incidents.
Hiii ni aibu kubwaa sanaaaa, watu wanakufa kila siku kwa ajili ya udaktari feki , watoe adhabu kalii ya kufungwa miaka mingii, ili wakomee la sivyo wataendelea kuwepo wengi tuuu...shame on you muhimbili
3 comments:
Hii ni aibu kwa uongozi mzima wa Muhimbili.Kwa mujibu wa taarifa hii, jamaa aliekuwa atapeliwe na huyu daktari ndie akie alert uongozi wa Muhimbili kuhusu kuwepo kwa huyu dokta feki.
Nijambo lisiloingia akilini kuwa mtu anaweza kwenda na kufanya shughuli za kidaktari Muhimbili bila ya uongozi kufahamu.Ikumbukwe hii sio safari ya kwanza incident km hii kutokea yet nothing has been done to take care of such incidents.
Hiii ni aibu kubwaa sanaaaa, watu wanakufa kila siku kwa ajili ya udaktari feki , watoe adhabu kalii ya kufungwa miaka mingii, ili wakomee la sivyo wataendelea kuwepo wengi tuuu...shame on you muhimbili
Wafukuzwe kaz viongoz
Post a Comment