BALOZI LIBERATA MULAMULA AMTEMBELEA ELISHA ERIC BAHUNDE
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula (kulia) katika picha ya pamoja na Eric Bahunde alipomtembelea hospitalini Washington, DC kumjulia hali. Mwingine (kushoto) katika picha jina lake halikupatikana.
1 comment:
Anonymous
said...
Pole sana mdau, kusema kweli sikufahamu sana, tumeshawahi kugongana mara chache tu DMV na kukuona kwenye kipindi cha vijimambo mara kwa mara, ila nilitaka kukupa mkono wa pole, mipango ya mungu vitu kama hivi vinatokea, we all know kama binadamu hakuko perfect.stay strong, mungu akupe subira na upone haraka. one Love.

Post a Comment