Mwanakijiwe Benja Mwaipaja akiwa kwenye pipa tayari kwa safari ya Bongo siku ya Ijumaa March 7, 2014 mwenyewe akidai anaelekea Bungeni Dodoma ambako sasa hivi kunafanyika Bunge maalum la katiba.
Katika picha ni Benja akiwa na mdohgo wake Benson Mwaipaja wakikwea pipa kuelekea BOngo siku ya Ijumaa March 7, 2014 kutokea Dulles Airport.


11 comments:
Hii blog imekosa mwelekeo kabisa, unatoa picha za watu wamepanda ndege kwenda Bongo. kwani hicho ni kitu caha ajabu.
Wakifika Bongo na kupanda basi kwenda Mbeya napo utatangaza?
VIJIMAMBO imekosa sera kwa sasa.
(Usifiche maoni yangu.)
Hii blog imekosa mwelekeo kabisa, unatoa picha za watu wamepanda ndege kwenda Bongo. kwani hicho ni kitu caha ajabu.
Wakifika Bongo na kupanda basi kwenda Mbeya napo utatangaza?
VIJIMAMBO imekosa sera kwa sasa.
(Usifiche maoni yangu.)
Hii blog imekosa mwelekeo kabisa, unatoa picha za watu wamepanda ndege kwenda Bongo. kwani hicho ni kitu caha ajabu.
Wakifika Bongo na kupanda basi kwenda Mbeya napo utatangaza?
VIJIMAMBO imekosa sera kwa sasa.
(Usifiche maoni yangu.)
Mie sijaona tatizo hapo, nafikiri ni part of entertainment as we all know Benja through Kijiwe cha Ughaibuni. But huwa naona anakosa muelekeo pale apo weka story za UDAKU wa Bongo movies au Bongo flava as Dj Luke you are too aged for that crap,plus hii blog yako ujaweka age limit so kuna watoto ambao ni under age wanaangalia hapa. SELF-AWARENESS ni kitu muhimu sana but naona Dj Luke you are lacking of it. Jaribu kumuiga uncle Misupu basi ili ukitaka uwendelee kuheshimika na watu wanaojitambua. Ok bye.
Btw Benja na your brothe look HOT!
Lakini kwelii huu ni ujinga mtupu mnafanya watu washamba hata wa ndege mambo gani haya
Hii blog imekuwa shimo la taka. Nani anawafahamu hawa?
(Ficha maoni kama kawaida yako)
Jamani unakaa economy unapiga picha business classy majangaaa
Lakini kuna watu mnao fitina zisizo na msingi. What is wrong with the pics? kwa nini anonymous hapo juu unakasiririka bila msingi? Binafsi sioni tatizo la kuwaweka hao wadau katika blogu,..it is a blog. Mdau jaribu kutafuta the true definition of the word "blog" and then you will get an answer to your three repetitive stupid comments.
Tena ndege yenyewe ni ethiopian airways bora ingekuwa Emirates
siyo kama kwa sababu kapanda ndenge, inaonekana haujui kitu umedandia train kwa mbele,, yupo kwenye safari muhim sana ya wana dmv ,, uliza kabla haujapanda train usiyojua inakwenda wapi>
Post a Comment