Tunapenda kuwaarifu wanachama wote wanaotaka kuchukua fomu za kugombea nafasi ya KATIBU WA TAWI Wakati ndio huu wachukue mwisho wa kuchukua fomu na kurudisha ni tarehe 5 april 2014 saa 12jioni na uchaguzi kufanyika tarehe 12 april 2014 sehemu utakapofanyika tutawajulisha Fomu zinapatikana kwa Mwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi Hii ndio kamati ya uchaguzi Mwenyekiti Jabir Jongo
240 604 0574 Mjumbe Mwinyiheri Mkwavi
240 603 3274 Mjumbe Fadhil Londa
301 377 4920 Mjumbe Joel Lugendo
240 432 7621 U naweza kuwasiliana pia na KAIMU KATIBU WA TAWI Bi Salima Moshi
301 401 1547 KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
No comments:
Post a Comment