ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 2, 2014

DAAH KUMBE SIO SIRI TENA, SIKU HIZI UKISHIKWA UMEIBA SUPERMARKET ZA BONGO UNAFANYWA HIVIII!!!!


 
mimi ni choriiii Wadada wa mjini, kuna wengine wanajifanya wajuajiii kumbe ni machorii, hebu huyu hapa yaliyomkuta daaah aibu gani hii msichana mrembo unavalia unapendeza, unaenda supermarket kuiba. yote hii ni kutaka mambo makubwa ,hivi mnafikiri zile camera zimewekwa pale kama mapambo? ishi uwezavyo na ukienda supermarket chukua kile mfuko wako unaruhusu lasivyo yatakukuta yaliyomkuta

1 comment:

Anonymous said...

Bora adhabu hii kuliko wanao valishwa matairi na kupigwa moto huko mitaani, wengine wanatiwa kiberiti kwa makosa madogox2 sana.