Jamani tubaki njia kuu!!! demu mmoja nchini kenya
ameripotiwa kutembea na wanaume zaidi ya 300 wakati anajua kabisa ni
muathirika wa ukimwi. Demu huyo aliamua kuchukua uamuzi huo mgumu kama
njia ya kulipiza kisasi kwa wanaume baada ya yeye kufanya mapenzi yasiyo
salama na mwanaume yaliyopelekea kuambukizwa ukimwi.
Mwanafunzi huyu kutoka Karabak University katika jiji la Nakuru
aliamua kufunguka kupitia facebook na kusema “nimesikia watu mkisambaza
kashfa. Mimi nina kashfa kubwa zaidi nataka kuisema.” gazeti la daily
post nchini kenya liliripoti.
Mwanafunzi huyu aliliambia gazeti la
daily post la kenya kwamba ana
miaka 19 tu kwasasa, na alikua ni bikira mpaka siku alipoenda club usiku
na watu wa miaka ya juu hapo chuoni kwake. Alipoamka aligundua mmoja wa
watu hao alifanya nae mapenzi bila ya yeye kujua sababu alikua amelewa
kupita kiasi.
“tarehe 22 september ni siku ambayo sitakuja kuisahahu” demu huyu
alisema. Alisema walipotoka club na kwenda kusherekea nyumbani kijana
anayeitwa Javan alifanya nae mapenzi bila yeye kujua.
“nilimuuliza kama alitumia kondom, akasema ndio , sema nilivyoenda
kuoga niliona shahawa zake ndipo nilipogundua ulikua ni uongo.
nilitamani kujiu kwa kuhofia mimba na ukimwi juu”
Alipogundua ameathirika binti huyu alimueleza Javan japokuwa jamaa mwenyewe alimwambia kwamba hupo safi na hajaathirika.
“Nilikua nina mawazo mengi sana. Nikanywa pombe kupitiliza ,
nilifikia hatua nikanunua sumu, uchungu ulikua mkubwa sana.Nitaiambia
nini jamii inayonizunguka ? Nimewaangusha wazazi wangu, nikakata tamaa
ya kuishi duniani na kutamani kukatisha maisha yangu. Future yangu
imeshaharibiwa.nikasema kunanjia mtu inabidi alipe machungu haya.”
alilielezea dada huyu.
Baada ya ushauri kutoka kwa watu mbalimbali basi msichana huyu
alinyanyuka na kuanza maisha mapya . “nilikubaliana na hali niliyokua
nayo na kujiwekea nadhiri ya kuwatesa wanaume watakaojileta mbele yangu
”
“Najua mimi ni mtu ninayevutia na wanaume kibao wananifukuzia kushoto
, kulia. Nikazika upande wangu mzuri ndipo hapo nilipogeukia upande
mbaya. Kusudio langu lilikua kuambukiza ukimwi wanaumengi wengi kadiri
inavyowezekana”
Mwanafunzi huyu amesema kwamba ameweka list ya wanaume aliowaambukiza
ukimwi na ataitoa siku atakayozikwa. “Najua sina cha kufanya tena hapa
duniani zaidi ya kusubiri kifo changu lakini kabla sijaenda kaburini
wanaume wengi watanielewa”
Dada huyu amesema amewaambukiza ukimwi wanaume 324, 156 wakiwa ni
wanafunzi wa Kabarak University alipokua anasoma.Waliobaki ni wanaume
walioolewa, ma-lectures , ma-lawyers , watu maarufu na wanasiasa.
Amesema Kusudio lake ni kuambukiza wanaume 2000 katika nchi za Afrika
Mashariki. Gazeti la Kenyan Daily Post liliripoti.
“siku haipiti bila kufanya mapenzi. Wakiwa wengi ni watu wanne kwa siku. ” mrembo huyu aliendelea kufunguka.
“Hakuna kitu kitakachonizuia mimi kutimiza malengo yangu kwa
kuendelea kulala na wanaume.Huwezi kujua inawezekana umeshalala na mimi,
au kama sio wewe ni kaka yako , au mme wako , au rafiki yako, au baba
yako tayari ameshalala na mimi”
“siku yako itafika. wewe mwanaume umeharibu maisha yangu sasa ni wakati na mimi niharibu maisha yako” alimalizia mrembo huyu.
Gazeti la Kenyan Daily Post lilisema halitataja jina la msichana huyu
japokua waliweka picha zake kutoka kwenye ukurasa wake wa facebook.

No comments:
Post a Comment