Misa ya kumbukumbu iliyofanyika siku ya Jumamosi March 22, 2014 College Parka Maryland kwa ajili ya maerehemu Caroline Mwaiselage aliyekuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani aliyekutwa na mauati alipokua amekwenda Tanzania march 7, 2014 mwaka huu.
Kushoto ni mume wa marehemu Chris Muhoka na kulia Martin Koroso aliyekuja toka Michigan
Watoto wa marehemu,
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Mchungaji Mbatta
Mchungaji Kadiolo
Mchungaji Igogo
Mchungaji Shideko
Dr Nicku Mordi
Mchungaji Malekela
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMB Idd Sandaly.
Mwambata wa Jeshi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Canada, Colonel Adolph Mutta.
Martin Koroso akitoa shukurani kwa niaba ya familia.
Mshereheshaji Dada Tuma.
Mtoto wa Caroline, Clement akisoma neno.
Mtoto wa Caroline, Michelle akisoma utenzi wa daima watamkumbuka mama yao na kwamba walimpenda sana.
Dada Ndigwako akisoma wasifu wa Marehemu, na yeye ndiye aliyekuwa na watoto wa marehemu wakati marehemu na mumewe walipokwenda Tanzania,
Wachungaji wakiwaombea familia.
sehemu ya umati wa watu.
Benchi la Ubalozi.
Afisa Paul Mwafongo.
Kushoto ni Afisa Suleiman Saleh na Mkuu wa Utawala na fedha wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Mama Lily Munanka.
Kushoto ni mume wa Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bwn. George Mulamula wakiwa pamoja na Mwambata wa jeshi Ubalozi wa Tanzania nchii Marekani na Canada, Colonel Adolph Mutta.
5 comments:
Inapendeza sana wana DMV tunapojumuika na kusaidiana, natoa pole kwa familia ya marehemu, Mungu awape nguvu hasa katika kipindi hiki kigumu, R.I.P dada yetu mpendwa, tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi
poleni sana wafiwa wote mungu akupeni moyo wa kustahamili amin.
na jamani mbona wakina mama wanakufa sana dmv na kuwacha waume zao kazi ya mungu haina makosa lakini inasikitisha sana
Jamani ingekuwa vizuri kwa heshima ya wafiwa, tusiwe tuna pose na tabasamu pana kabisa kwenye picha za wakati wa msiba.
Tutamkumbuka daima dada yetu Caroline.
DMV KWELI KAMA UMOJA MMEJALIWA NA MSICHOKE NDIO MUNGU ANAPENDA WATOTO WAKE KUWA PAMOJA HASA KATIKA MATATIZO,MBARIKIWE SANA...NA MIJI MINGINE TUNATAKIWA KUJIFUNZA TOKA KWENI HATA KAMA TUPO WATANO LKN KUWA PAMOJA KUNAPENDEZA.
POLENI SANA FAMILIA NA WOTE,TUTAKUKUMBUKA SANA DADA YETU MPENDWA CARO,RIP
MUNGU aendelee kuwatunza KILA iitwapo leo
Post a Comment