ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 7, 2014

SHABIBY TAJIRI WA MABUS YA ABIRIA UKANDA WA KATI HIKI NDICHO ANACHOKIFANYA NDANI YA JIJI LA DODOMA KWA KUWASHUSHIA HOTEL YENYE ADHI YA NYOTA 5

Hii ndio heteli ya kifari yenye hadhi ya nyota Tano ambayo ipo Mkoani Dodoma, Hoteli hii ambayo inamilikiwa na Mheshimiwa shabiby ambayo imepewa jina la Morena kwa tafsiri yake ni kitu kizuri au kama ni mwanamke humaanisha
mzuri sana mithili ya malaika,
Morena hoteli ambayo ipo katikati ya mji wa Dodoma inataajia kufanya vizuri sana kwa hapa tanzania, Ni hoteli ambayo inaweza hata Rais wa Dunia kufikia katika hoteli hii,
Mheshimiwa shabiby akiongea na mmiliki wa blog hii aliweza kutuhakikishi kwamba hakuna hoteli ambayo anaweza kufananisha hoteli yeyeto kwa hapa nchni,
Pia alizidi kutuambia kwamba ni hoteli ambayo ipo kipekee kabisa na hivi karibuni itakuwa tayari na kwamba kwa sasa anasubiia contena 50 ambazo zipo njiani kuja Tanzania ambazo zimebeba vifaa kwa ajili ya hatua za mwisho kabisa ya hoteli hiyo.

1 comment:

Anonymous said...

Hongera Shabibby kwa ujasirimali matumaini yetu kwamba Dodoma yetu itaendelea kukua. Hongera kwa kuleta makoteni 50 kwa ni mojawapo kuipa serikali yetu mapato katika kitengo cha ushuru.