Advertisements

Tuesday, March 25, 2014

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

6 comments:

Anonymous said...

Benja tunakukubali mbunge wa DMV unachangamsha ,hata mtu kamaunahasira .unacheka.

Anonymous said...

Benja tunakukubali mbunge wa DMV unachangamsha ,hata mtu kamaunahasira .unacheka.

Anonymous said...

He! Hiki kweli kijiwe!

Anonymous said...

bora jabir umewanyamazia mwanagu nakukubali jabir jongo unawauliza maswali ya maana wao wamekaa na maswali ya kijiweni yasioenda shule kama raisi wao, eti handsome boy,hawajui kwamba kapewa nchi kwa ajili ya huo uhandsome wake lakini zaidi ya hapo hakuna kitu pumba tupu ndo maana hawezi kupambana na waganda wala wakenya

eti hatuwahitaji waganda wala wakenya jamaa hawa hakuna shule kabisa bora ni kijiwe cha kucheka tu lakini kuchambua mada hawawezi

nakuona jabir unawavumilia big up my man

Anonymous said...

jabir nakukubali mkuu unaona mbali mwanangu lakini hawa jamaa ni vilazi kama raisi wao na tena wanafaa kuwa katika kipindi cha vichekesho makoona kina masanja etc

wakae tu marekani na kusifu marekani hawajui wamarekani hata hawajali watu kama hawa tena kama huna elimu ndo kabisa upo maskini wa kutupwaa

Anonymous said...

I like this dude jabir yupo poa na tena mstaarabu benja Mario umesharudi kutoka bungeni bongo?