Gossip cop Soudy Brown wa U heard ya XXL Clouds FM alizipata stori kutoka kwa shuhuda kwamba jana March 13 2014 kulitokea ugomvi studio baada ya Ommy Dimpoz kupost picha akiwa studio na Diamond na mwimbaji Mkenya Victoria Kimani ambae amewahi kuingia kwenye headlines kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Diamond.Shuhuda anasema tatizo lilikuja baada ya
video hiyo kusambaa na kumbe Diamond hakumuaga mpenzi wake Wema kwamba angekua studio na Victoria, hapo ndio Wema anadaiwa kwenda na kufanya fujo studio.

Bonyeza play hapa chini upate kisa kizima
2 comments:
Bi dada kwa mtaji huu utapigana sana
WOTE WANAUZA MAGAZETI HALAFU HAKUNA PENZI LA KWELI SIKU HIZI KWA VIJANA SI KAMA ENZI ZA MABABU ZETU NA WAZEE WETU.NAWASIKITIKIA VIJANA WOTE WENYE WAPENZI WA AINA HII POLENI SANA MAPENZI SI UGOMVI WALA UHASAMA WALA KULAZIMISHANA WAALA KUDANGANYA WAZUNGU WANAKUDANGANYENI MFANYE HAYA WAO KWA VILE HAWANA MAPENZI YA KWELI NANYINYI KILA LEO KUWA KOPI MA STAR WA MAJUU KWA VITUKO VYAO POLENI SANA POLENI NA UJINGA WENU
Post a Comment