ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 2, 2014

MALAVIDAVI YA WAPENDANAO NDANI YA KIOTA CHA SAFARI CLUB, WASHINGTON, DC

 Bwn na Bibi Sebo katika picha yao ya malavidavi walipokuwepo usiku wa siku ya kuzaliwa ya Dj Luke Safari Club.
 Bwn na Bibi Ameir wakipata picha ya ukishikwa shikakamana
 Bwn. na Bib Abdul wakiwa kwenye pozi zito la malavidavi walipokuja Safari Club usiku wa siku ya kuzaliwa ya Dj Luke

1 comment:

Anonymous said...

hawa ndo my best friend wa dj luke?