ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 16, 2014

MBUNGE WA CHADEMA ROSE KAMILI YUKO HOI

Mwenyekiti Mbowe akisikiliza maelezo kutoka kwa Mbunge wa Kawe (CHADEMA), Halima Mdee, namna ambavyo
Mbunge Rose Kamili alikuwa akiendelea kupata matibabu katika hospitali hiyo
Mbunge wa hadema anayedaiwa kupigwa na vijana ambao bado hawajajulikana jana ila habari zinasema ni vijana wa ccm baada ya kumtuhumu anatoa rushwa...

2 comments:

Anonymous said...

Naipenda sana katiba ya Tanznia. Yaani iko wazi kabisa, mtu anayedhaniwa kutoa rushwa anatakiwa kupigwa.

Anonymous said...

That is stupid kwakweli, watu wangapi wanapokea rushwa? ??? A lots , siasa ya bongo ni ya kijinga daima