ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, March 25, 2014

Mhe, Balozi Liberata Mulamula alipotembelea ofisi za AL Nursing home care

 .Mhe balozi Liberata Mulamula akipokelewa na mwenyeji wake mmiliki wa AL Nursing home care Nd, Lucas Mmanywa alipokua ziarani North Carolina Jumamosi March 22, 2014 na kuwatembelea Watanzania wa NC waliojiajili wenyewe na kujionea kazi zao.
 Mhe balozi Liberata Mulamula akibadilishana mawazo na wafanyakazi wa AL Nursing home care ambao ni marafiki wa wakubwa waTanzania.
Mhe Balozi akipata picha ya pamoja na wafanyakazi wa AL Nursing home care watatu toka kulia na mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania North Carolina Ndungu Geoffrey Lepana.

No comments: