ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, March 25, 2014

MHE. BALOZI MULAMULA AKUTANA NA MAYOR WILLIAM V. BILL BELL KWENYE ZIARA YAKE NORTH CAROLINA

 Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwa ofisi ya Mayor William V. Bill Bell alipotmtembelea siku ya Ijumaa March 21, 2014 alipofanya ziara North Carolina kwa mwaliko wa Jumuiya ya Wanzania North Carolina(UTNC) kati ni mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Ndugu Geoffrey Lepana.
 Mhe. Liberata Mulamula wakifanya kikao na Mayor William V. Bill Bell ofisini kwake na kuumpa taarifa ya kufanyika DICOTA North Carolina mwezi October kuanzia tarehe 2-5, 2014. kati ni mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania North Carolina, ndugu Geoffrey Lepana.
 Mazungumuzo yakiendelea
 Mayor William V. Bill Bell akimsikiliza Balozi Mulmula (hayupo pichani)
 Mayor William Bill Bell akimuonyesha kitu Mhe. Balozi Liberata Mulamula
 Mhe. Balozi Liberata Mulamula akibadilishana mawili matatu na Mayor William V. Bill Bell
Picha ya pamoja na Mayor kutoka kushoto ni David Mushi, Afisa Ubalozi Switebert Mkama, mwakilishi wa DICOTA Dr. Lyungai Mbilinyi  Tony Nturu, Mhe. Balozi Libarata Mulamula, Mayor William Bill Bell, Mjumbe wa DICOTA Oliva Kavishe na mwenyekiti wa UTNC ndugu Geoffrey Lepana
 Dr. Lyungai Mbilinyi mwakilishi wa DICOTA katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Liberata Mulamula

4 comments:

Anonymous said...

watanzania wa North Carolina mko juu. uongozi mmeipanga ratiba ya balozi vizuri, imeenda shule

Anonymous said...

Haya ndo mambo tunayotaka kuona! Si mablog yaliyojaa watu kutukanana na kudhalilishana kama jamii iliyokuzwa bila mila wala desturi na hata shule hawakwenda! LET US CHANGE PEOPLE. Wengi tuko huku miaka zaidi ya kumi lakini ukisoma watu wanavyoandika na matusi ya nguoni ambayo mtu mwenye akili timamu hawezi kuyasema au kuandika.

Anonymous said...

Asante

DJ 'B' NC said...

Hongera sana kwa kazi nzuri ya uongozi na wanajumuia wote walioshiriki. Keep up the good work.