Advertisements

Sunday, March 23, 2014

MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU AURELIA FRANCIS NSOLO DMV LEO JUMAPILI

Familia ya Nsolo inapenda kuwataarifu Misa ya kumbukumbu ya marehemu Mama yao mpendwa Aurelia Francis Nsolo aliyefariki tarehe 17 march 2014 Tanzania itafanyika leo jumapili March 23, 2014  saa kumi jioni katika kanisa la
The Way of the Cross
Gospel ministries (at university of Maryland )
United Methodist Church
3621 campus Drive
College Park MD 20740

Wote mnakaribishwa.Bwana alitoa na Bwana ametwa.
Kwa maelezo zaidi piga simu:
Francis Nsolo-301 503-7387
Mama Lulu (Glory)-301 712-2642
Mama Kimora(mke wa Iddy)-240 706-2215
Iddy Shah-202 641-2342
Bruno Mazali -301 454-9344

Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio, Asante

3 comments:

Anonymous said...

DJ Luke mbona hamna picha ya marehemu???

Anonymous said...

Mdau pole kwa kukosa picha ya marehemu!! je ikiwepo ndio utahudhuria ibada?? Hebu tujaribu kuacha munkari za kutafuta visingizio. Umetaarifiwa msiba ulitokea Tanzania, sawa hata kama angeweza kuwa nayo hakuna haja sana ya kuwaiwepo hapa. kweli tunavissingizio. Dj LUKE amekosea wapi kukupa taarifa alizotakiwa akupe? Nenda kwenye ibada waulize wahusika au wapigie simu zao zimetolewa hapo juu..Asante.

Anonymous said...

kila tangazo la marehemu lazima liwe na picha nilikuwa namkumbusha dj Luke asiwe anaweka vitu nusunusu.usipende kurukia rukia vitu visivyokuhusu.