MWONEKANO WA JIJI LA ARUSHA MAPEMA ASUBUHI YA LEO 13/03/2014
Arusha
ni Moja ya Jiji linalokua kwa Kasi sana,Shughuli za Kiuchumi hasa
Utalii umepelekea Jiji hili kuwa na Mwonekano Mzuri sana na hata Arusha
ikaitwa Geneva Of Africa.Uswahilini pia kupo hapa Arusha.
Picha na camera ya Vijimambo/Sanga Festo
2 comments:
Anonymous
said...
Jamani muonekano mzuri wa mji wa Arusha uko wapi? Kwani ni miongoni mwa miji michafu ambayo haijapangiliwa kabisa.
Mdau hapo juu ASANTE. Arusha ni mji mchafu wenye vichochoro, hakuna sewage system ya kueleweka, watu wanajinyea tu popote. Majengo yamechakaa mjini katikati. Umewahi kuona mafuriko ya maji machafu mtaa wa Sokoine? Unatembea kwenye maji meusi yenye kinyesi siti senta? Halafu kuna wauza matunda wamepanga chini hapo Meru posta. Machinga wamezagaa kila kona, Pikipiki (toyo) hazifuati sheria. Arusha? ni mji mchafu sana usio na mpangilio na watu wasio jali afya za zao na za wenzao. Maeneo mazuri ni labda New Arusha Hotel kuelekea Njiro ila nako kumejaa vibaka na biashara za mikononi. Nilizaliwa Arusha, nimesomea Arusha na nilifanya kazi hapo kwa muda - hamu sina!. Ukitaka mji msafi nenda Tanga au Moshi.

Post a Comment